iqna

IQNA

maadili katika qurani
Mtazamo wa Maadili Katika Qur'ani/ 5
IQNA - Akhlaki njema au tabia njema ni muhimu sana na ina athari nyingi chanya katika mahusiano ya watu na katika mwingiliano wa kijamii.
Habari ID: 3478490    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/11

Mtazamo wa Maadili Katika Qur'ani/ 4
IQNA - Udaku ni aina ya kusengenya ambapo mwenye kufanya hivyo humuambia mtu kile ambacho mtu mwingine amesema bila ridhaa yake.
Habari ID: 3478476    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09

Mtazamo wa Maadili Katika Qur'ani/ 3
IQNA-Aya za Qur'ani Tukufu na Hadithi zinatuhimiza tuepuke shubuha, kushuku na kutoaminiana. Kuwashuku au kuwa na dhana mbaya kuhusu wengine ni tabia mbaya ambayo inaweza kuwa na athari hasi kwa mtu na wale wanaohusishwa naye.
Habari ID: 3478462    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Mtazamo wa Maadili Katika Qur'ani/ 2
IQNA – Wivu au uhasidi ni tabia mbaya ambayo husababisha mtu kutaka wengine kupoteza baraka zao. Kwa hakika wivu ulikuwa sababu ya mauaji ya kwanza na pia mauaji ya kwanza baina ya ndugu wa familia moja katika historia ya wanadamu.
Habari ID: 3478452    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Mtazamo wa Maadili katika Qur'ani Tukufu /1
IQNA – Uovu wa kwanza wa kimaadili uliompoteza mtu ulikuwa ni kujiona na majigambo na inaweza kusemwa kuwa hii ndiyo chimbuko la maovu mengine ya kimaadili.
Habari ID: 3478447    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04

Maadili katika Qur'ani Tukufu /27
TEHRAN (IQNA) – Watu wanahitaji utulivu na amani ya akili ili kufikia malengo yao ya kimaada na kiroho.
Habari ID: 3477618    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/18

Maadili katika Qur'ani Tukufu / 25
TEHRAN (IQNA) – Tunaposoma kauli za Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) na Imam Hussein (AS), tunaona kuna kiwango kikubwa cha mapendekezo kuhusu masuala ya maadili katika matamshi ya watukufu hao wawili.
Habari ID: 3477541    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/03

Maadili katika Qur'ani Tukufu /24
TEHRAN (IQNA) – Kufr ni neno la Kiarabu lenye maana ya kufunika na kukanusha ukweli na kwa hakika Kufr ina madhara makubwa kwa watu binafsi na jamii.
Habari ID: 3477521    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/30

Maadili katika Qur'ani Tukufu /23
TEHRAN (IQNA) – Ni swali la kawaida kwa watu kuuliza jinsi gani wanaweza kupata baraka nyingi za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477512    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/28

Maadili katika Qur'ani Tukufu /22
TEHRAN (IQNA) – Ghaflah, neno la Kiarabu lenye maana ya kupuuza, kughafilika, na kusahau, ni tabia yenye madhara ambayo huharibu matendo mema ya mtu.
Habari ID: 3477501    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/26

Maadili katika Qur'ani Tukufu /22
TEHRAN (IQNA) – Miongoni mwa fadhila tukufu ambazo ni vigumu sana kuzipata ni kusamehe wengine na kuepuka kulipiza kisasi wakati mtu yuko madarakani.
Habari ID: 3477473    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/21

Maadili katika Qur'ani Tukufu /20
TEHRAN (IQNA) – Kila mtu binafsi, kama sehemu ya jamii, anawajibika kwa uhusiano wake na watu wengine. Kwa kawaida, nguvu ya uhusiano inategemea tabia na mwenendo wa mtu.
Habari ID: 3477458    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/19

Maadili katika Qur'ani Tukufu /19
TEHRAN (IQNA) – Miongoni mwa viungo vya mwili, ulimi ni moja ambayo kwayo madhambi mengi yanaweza kutendwa.
Habari ID: 3477433    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/14

Maadili katika Qur'ani Tukufu /18
TEHRAN (IQNA) – Hata kama wana familia kubwa au marafiki wengi, baadhi ya watu hujikuta wapweke zaidi duniani kwa sababu ya tabia zao, mojawapo ikiwa ni ubakhili.
Habari ID: 3477405    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/09

Maadili katika Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) – Nguzo kuu ya kuhifadhi jamii, iwe kubwa au ndogo, ni uaminifu. Ikiwa uaminifu utapotea, jamii itakabiliwa na kila aina ya madhara ambayo yanaweza kudhoofisha msingi wake.
Habari ID: 3477395    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/07

Maadili katika Qur'ani Tukufu /16
TEHRAN (IQNA) – Utani, mzaha, na kuwafanya watu wacheke ni njia nzuri za kutangamana na wengine, lakini mtu anapaswa kuwa mwangalifu asiende mbali sana kwani wakati mwingine kunaweza kuibua maudhi na hasira.
Habari ID: 3477336    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/25

Maadili katika Qur'ani Tukufu /15
TEHRAN (IQNA) – Moja ya sifa za kimaadili zinazosaidia jamii kuwa na afya njema na iliyojaa amani ni uaminifu.
Habari ID: 3477324    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/23

Maadili katika Qur'ani Tukufu /13
TEHRAN (IQNA) – Aya nyingi za Qur'ani zinataja masuala ya kimaadili na kutoa ushauri wa kimaadili. Moja ya mashauri haya ni kuepuka kuwashuk au kuwadhania vibaya watu.
Habari ID: 3477308    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/19

Maadili katika Qur'ani Tukufu /13
TEHRAN (IQNA) – Kusahau ukweli kwamba akhera itakuwa makazi yetu ya milele kumekatazwa katika Qur'ani Tukufu na Hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad (SAW) na Ahul Bayt (AS).
Habari ID: 3477290    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/16

Maadili katika Qur'ani Tukufu /12
TEHRAN (IQNA) - Hasira na ghadhabu ni sifa hatari zinazoweza kusababisha maamuzi ya kichaa na ya hatari, ambayo yanaweza kusababisha majuto ya maisha yote.
Habari ID: 3477277    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/13